Kirapoisi

Kirapoisi ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Warapoisi. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kirapoisi imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirapoisi iko katika kundi la Kibougainville ya Kaskazini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search